metabloit/swahBERT
Text Classification
•
Updated
•
117
•
1
text
stringlengths 1
199
⌀ | labels
int64 0
1
|
---|---|
ah ah ah nomaa | 0 |
wewe unajua kwa hakika nini hutokea baada ya mtu kufa je umesahau ile amri ya usihukumu usije kuhukumiwa what if alitubu nyakati za mwisho na yuko peponi kwa sasa | 0 |
kudaaaambuzi kabisa | 0 |
yupo wapi | 0 |
matusi ya nini tena jamani | 0 |
ue | 0 |
sio wote tuko hivyo mkuu | 0 |
hii ndio france bwana hwa watu waliongea sana | 0 |
mimi baada ya kunyanduana huwa narudi nyuma kama ninjasigeuki mwanamke hapaswi kukuona matako | 0 |
ngoja kina james delicious waanze kuwasaidia kazi watu wanashindwa kazi yao | 0 |
punguza jazba mkuu ukakasirika mapema kwa presha utakufa hata sumu aliyodhamiria hajakukorogea | 0 |
dkk za kwnz uwa ni muhm sana mkiwa mnaongoza fanyeni kila jambo mtulie | 0 |
dahh | 0 |
dear huelewekiiiiiiioo | 0 |
ha | 0 |
ni vema ukaficha upumbavu wakojibu hoja | 0 |
naona dawasa wanazidi kuchanganyikiwa na bado wacha inyeshe tujue panapovuja endeleeni kumtukana jpm si mlifikiri uongozi ni lele mama twende sasa | 0 |
una akili ndogo sana sijapata ona kum nina hivi pro nato mmefikia kuwa wajinga kiasi hicho | 0 |
mkuu vipi umepata kizungu zungu kwa kichapo anachopewa russia yani we upo mpwapwa huko unaweweseka hivo | 0 |
daah mungu tusaidie | 0 |
ndio lissu anakufundisha haya | 0 |
omba kibali ili ufanye hiyo biashara sio ku take advantage ya kutokuwepo kwa maji na kufanya biashara fuata taratibu ili upate leseni na ulipe kodi | 0 |
bora moderators wameshakupa adhabu yako hujui hata staili yakutukana unatukanatukana tu matusi yapo humu jamvini lakini si kwa staili hiyo kajifunze | 0 |
naanza na ku hawa jamaa ni wangese sana wanyonge ndiyo wanataabika na kuzidi kupigwa pini kwa visheria uchwara huku wao wakiwa na visima virefu majumbani mwao na matenki makubwa makubwa namaliz | 0 |
walidhani marekani na ue ni nchi za mchezomchezo ngoja waisome namba akili ziwarudie kumanina zao | 0 |
hayo mengine umechomekea | 0 |
advance payment ilikuwa tayar so anamaanisha kumalizia full payments | 0 |
mungu mkubwa | 0 |
ndege tano zinanunuliwa kutengenezwa kuja mwaka dhumuni hapo lilikuwa kusifia awamu hii | 0 |
kuna kila dalili kwamba mipango yao itafanikiwa muda si mrefu | 0 |
hongera kwa maamuzi ya busara faida zake ni nyingi kuliko hasara moja ya faida nakupa uwezekano wa kuishi mpaka uzeeni magonjwa haya yasiyo ya kurithi wa kuambukizwa kama stroke utakuwa umeshin | 0 |
haka kandinga ni katamu asikwambie mtu mazda alikaa chini akafikiria na akaja na haka kandinga but nadhani mwaka ujao katashuka kidogo hasa ka coz kuna nchi haziruhusu magari ya zaidi ya miak | 0 |
hajawahi leta demu yeye ni kunguru muoga kabisa na mdau wa chaputa si akatoka yule bi dada jirani kwenda kumwaga maji ya uchafu wa vyombokumanina ana mkundru aiseee heeeeeee ndo kumuona vizur | 0 |
hahahahaha | 0 |
kameza p huyo | 0 |
huu ndio mfano wa wafuasi wa mbowe soma hiyo coment ya huyu mfuasi wa mbowe drink water ni ushahidi tosha kuwa mbowe alifanikiwa kuwafundisha wafuasi wake vitendo vya kihalifu na hii ndio ili | 0 |
stahiki yako | 0 |
cross hazisaidiii kumanina sijui kwa nn hawaoni hilo | 0 |
hahahahahahahahaha | 0 |
ingia wewe | 0 |
unadhani ingekuwa leo ningeacha mkuu lkn kwa sababu ya utoto nikawakimbia wote kumaninasijui akili za wapi zile zilikuwa | 0 |
anaisaidia timu yake ya zamani | 0 |
hahahahahahahahahaha kufa mkuu | 0 |
hahaaa pisi flani hivi ukiwa maarufu una hela the future is promising hukosi mrembo wa kuoa tena huyo halima aligombana na babake kisa zito hadi jiwe aliwahi kumchamba kisa zito | 0 |
haters nawakumbusha tu ni kwamba hakuna ban hapa huyu mmemfwata wenyewe kwenye uzi wake | 0 |
timu yenu hamia na wewe huko kwenye timu nyingine ukapate mafanikio mbona simple tu | 0 |
nmecheka hapa km chizi aggrey tatzo hajipi mazoez ya kupunguza mwili ila anadamshi na anazungka sehem zenye uhtaj wa pesa na saiv shost yaka kajala bas wanawezan wenyewe tatzo la gays wa bon | 0 |
si unajikuta kibriai | 0 |
unaanza kuwakataa wachezaji wako hiyo ndio chelsea leo tuchel kaja na mbinu ya kuwaachie mcheze nyinyi ili mtengeneze space ya chelsea kupiga counter attack na nyinyi mmeingia kwenye mtego wake | 0 |
jamaniiih bora mngefumwa ili muoneshwe adabu khaaaaah | 0 |
yanatutesabyanatufaidibutadikri die manyigu | 0 |
unatumia mitandao na simu zao kuwatukana lakini | 0 |
lwona eyasho na nyoko wazimazile ezo empari ahahhhahh | 0 |
nahisi hizo hasira bado unapasha tu mkuu wangefanikiwa kutoroka yaani wangekuwa machizi kutokana na ninachowaza kuwafanyia | 0 |
kalye empari kumaninashenzi kalirunga omshumari gwa kuchuga omunio | 0 |
wazazi na ndugu za binti inaonekana walikuwa ni wapole kupita kiasi | 0 |
acha kabisa aiseeee | 0 |
michezo michafu ukimaanisha au maana tanga nao wadau sana wa mpalange | 0 |
kaka adhabu yako ingefanana na yangu ila mimi ningeongeza na hii ningewaweka katika chumba kidogo sana kisicho na hewa ya kutosha wala wasingeweza kulala wangesimama ni kukaa tu kisha chakula | 0 |
noma sana | 0 |
mapenzi masenge sana | 0 |
anapatikana hapo alipo | 0 |
mkuu usiseme wanajifanya wababe ila ni wababe | 0 |
haya maoni yako ayaone dpp maana yeye ndiye mbambika kesi watu wasiokuwa na hatia | 0 |
daaha hahahaah | 0 |
na matusi yamo | 0 |
sina ham kila kukicha leo nmechapwa | 0 |
na bado mtakiona cha moto na timu lenu bovu | 0 |
utakapoanza kufa wewe kwa korona | 0 |
pole aisee na vocha juu bado hakutafuti | 0 |
utayakumbuka maandishi yangu wewe jipe moyo | 0 |
unaijua ile ngoma ya chuma ulete chuma uletee kama huijui kaiskilize mkuu demu akiwa hakupendi anafanyaga mambo ya kicenge sana yani | 0 |
umeona huyu mfirwxx mwengine anatetea maovu rebeca | 0 |
dah so funny | 0 |
nipo kwenye mahusiano miezi sijawahi kujiunga kumpigia mwanaume sms za hapa na pale lakini anapiga yeye nikipiga mimi ni kumwambia nipo getini hapa fungua ila hajawahi kulalamika watu wakipe | 0 |
gooooal | 0 |
hicho kiuongo k umeongezea wewe mkuu au kasema pia | 0 |
pole kamanda ila kuna sehemu ya kuwasilishia malalamiko huku mods sidhani kama ujumbe huu utawafikia | 0 |
duuuh hahaha povu la omo linakutoka maana hilo tusi yaani ningekuwa karibu ungenilowanisha usoni na povuuuu | 0 |
aiseee | 0 |
duh hatar hii kudamdesa | 0 |
leta source kua tpa imejengwa na mkenya na ukileta nitag nifunge account jamii forum | 0 |
hahaha | 0 |
ashakumsi matusi | 0 |
pole mkuu | 0 |
sio kwa kichambo hiki jeny hebu njoo | 0 |
eti hayo ndio maneno ya kijana mtanashati wa padre aliyelelewa kwa maadili ya kipadre sawa kijana wa kanisani | 0 |
wameteseka dakika za mwisho kinoma | 0 |
unaa haki ya kujipongezaa mkuu safiii | 0 |
stend wanacheza vizuri kuliko simbakumanina zao wale madogo wanakula mishahara mikubwa halafu wanacheza matako | 0 |
punguza hasira | 0 |
kwani wewe ni nani kumanina zako | 0 |
umepanic budaa | 0 |
kwa hii thread yako nimekubali hlo ni funzo | 0 |
atarudisha tu goli | 0 |
ngapi wamekukula mkuu pole sana bosi | 0 |
mzee baba ukala na wazungu wako kwa denda ila hii komesha | 0 |
hii story ina utata sana kwa form three kuwa expert wa kiwango hicho hatutegemei form kuzidi miaka ni ngumu sana kuwa na uzoefu huo uliokuwa nao wewe | 0 |
niliogopa uliposema ukampaka mafuta nikafikiri ulitaka kucheza rafu rodi | 0 |
kuna ww af kuna sis ambao hatukuwah kua na bekitatu mahom | 0 |
This dataset contains offensive and non-offensive sentences. The data was scraped from JamiiForums using a prepared wordlist. The dataset contains sentences that consists of swahili abusive words (in the wordlist) but does not contain sarcastic abuse.
The dataset is divided into train, evaluation and test datasets. The training dataset consists of 4954 sentences, evaluation dataset consists of 990 sentences and the test dataset consists of 660 sentences.