id
int64 0
1.44M
| text
stringlengths 12
6.72k
|
---|---|
356,978 | Maisha yetu ya zamani yamekuwa na yameondoka.
|
616,270 | Huyu mama Nyoni ana ukabila, mkubwa sana na makundi.
|
1,426,243 | Kibaya zaidi ni kesi ya kuachana (divorce) ambapo mama anadai gari aina ya Range Rover la baba lilionekana limepaki nje ya nyumba ya rafiki yake wa kike wakati baba alisema amekwenda kwenye safari ya kibiashara.
|
1,202,398 | Wengi wanaweka matunda ya kazi yao mbele ya Madhabahu, wakati wachache huweka matunda ya kwanza pamoja na mafuta kwenye Madhabahu.
|
644,584 | Uzalishaji wa tumbaku hufanyika kupitia kilimo cha mkataba.
|
985,507 | Kuna mambo ambayo lazima yanisubiri na sio kama mnavyodhani kuwa kuna mgongano kati yetu," alisema Sitta na kuongeza kuwa;
|
396,245 | Rais wa Umoja wa Klabu za Waandishi wa Habari nchini UTPC, Deogratius Sonkolo (kulia) na Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri nchini TEF, Theophil Makunga (kushoto), wakifuatilia maadhimisho hayo.
|
1,118,081 | Je, Serikali ina mpango gani mkubwa wa kujenga mabwawa kwa ajili ya kilimo katika maeneo hayo?
|
64,901 | Diamond amekuwa akimlalamikia Diva kuwa na tabia ya .
|
1,081,314 | ), katika Hadithi zake, ametunasihi tuwe tukifanyiana hayo; na hayo huyapata kwa ukubwa siku za maulidi.
|
877,917 | Lakini tangazo kwamba amerudi lilifuatia haraka na kukiri kwa naibu kiongozi wa mapinduzi Cyrille Ndayirukiye kwamba mapinduzi hayo yameshindwa.
|
897,846 | Lakini Kenya mapato ya ndani bajeti ya 90% anajitegemea na sisi tukubaliane jamani; sisi tuna rasilimali nyingi kuzidi Kenya.
|
51,843 | Nchi hii ina wakazi milioni 1.
|
158,246 | Jamie Monson ambaye amekaa sana nchini Tanzania na Zambia kwa ajili ya kufanya utafiti kuhusu reli ya Tazara ana maoni tofauti.
|
387,457 | Mkoloni anaamini haya yote yanayofanyika Zanzibar kuwa yanatokana na chama cha Wananchi CUF, kumbe ni tofauti.
|
932,998 | Swali, Je, ukumbi huu uliojengwa wakati wa ukoloni kwa shughuli za sanaa, burudani, elimu kwa jamii, umefanyiwa maboresho gani toka ukoloni?
|
1,426,354 | Kwa bahati mbaya katika chaguzi zetu tunasimamisha wagombea ambao huonekana wanavinadi vyama vyao, kumbe ni kinyume chake.
|
1,393,452 | Njia ambayo kwa sasa ni salama kupiga simu na kutuma text ni Whatsapp na Telegram, kwa sababu taarifa inatoka kwa mtumaji kwenda kwa mpokeaji moja kwa moja kwa kupitia 'domain' ambayo ipo Marekani.
|
984,570 | Mtendaji Mkuu wa Posta wa Mauritius, Giandev Moteea, akitoa hotuba yake katika mkutanoni huo.
|
796,560 | Watanzania wanapaswa kujua; kwa nini Basata limedharauliwa?
|
1,102,236 | Wimbo huu pia utatoa picha halisi ya ‘kutotabirika’ kwa Ali Kiba.
|
564,876 | Afisa Mtendaji Mkuu wa Benjamin Mkapa Foundation, Dk.
|
217,682 | Ruka hadi maelezo Yaliyomo Habari Michezo Video Vipindi vya Redio Habari Michezo Video Vipindi vya Redio Coronavirus: Kwa nini virusi vya corona husambaa haraka miongoni mwa wanadamu 31 Machi 2020 Chanzo cha picha, Getty Images Maelezo ya picha, Wataalam wanakubaliana kwamba virusi kama SARS havijawahi kuonekana Ni kifurushi kidogo cha nyenzo za jeni iliozungukwa na protini na ukubwa wake ni moja ya elfu ya unywele wa binadamu.
|
328,455 | Napenda kumalizia salamu zangu za Mwaka mpya kwa kumshukuru tena Mwenyezi Mungu kwa rehema zake alizotujaalia mwaka 2010.
|
536,819 | Bado ulimwengu unahitaji habari kwa kuhabarisha na kuelimisha kama vile kuondoa ukiukwaji wa haki za binaadamu na hivisasa unyanyasaji wa kijinsia, Unyanyapaa haki za walemavu na wanawake na watoto.
|
490,119 | “Kimsingi migodi yote iliyofanya mabadiliko (kuuziana), Serikali imekuwa haipati fedha yoyote, kumbuka mgodi wa North Mara wa kampuni ya Placer Dome ya Canada kutoka kwa kampuni ya Afrika Mashariki ya Australia, na baadaye mgodi huo kuwa mikononi mwa Barrick ya Canada,” kinaeleza chanzo chetu cha habari.
|
1,123,001 | Je, unajua kitu kuhusu Mbaga Tuzinde kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
|
37,254 | Watu wakiwa wamekusanyika katika makutano ya Barabara ya Uhuru na Msimbazi wakati msafara wa mgombea urais kwa tiketi ya Chadema, Edward Lowassa ulipokuwa ukielekea Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kuchukuwa fomu za urais, Dar es Salaam jana.
|
1,435,754 | John Pombe Magufuli akipokea Hati za Utambulisho kutoka kwa Balozi mpya wa Brazil nchini, Mhe.
|
1,033,786 | Ifahamu njia mpya ya kuzika mwili ambayo ni rafiki kwa mazingira
|
565,536 | Serikali ya kaunti ya Kilifi inasema imetenga shilingi millioni 40 mwaka huu wa kifedha kutekeleza miradi mbali mbali katika sekta kilimo.
|
879,594 | Makampuni ya kununua tumbaku hapa nchini yako matatu tu na mwaka 2015 yameanza ukiritimba wa kutokununua tumbaku yote ya wakulima.
|
17,961 | MAMLAKA YA ELIMU TANZANIA (TEA) KUFANYA UKARABATI WA MIUNDO MBINU YA SHULE YA SEKONDARI MZUMBE NA KILAKALA – MOROGORO
|
419,436 | Ester Matimo, wakati wa Mkutano wa Kampeni, uliofanyika kwenye Uwanja wa Sabasaba, Tarime Mjini, Mkoani Mara leo Oktoba 10, 2015.
|
311,590 | DIRA YETU: ZIARA YA KAMPENI YA URAIS YA MHESHIMIWA EDWARD LOWASSA MKOANI KAGERA
|
64,403 | Amesema kuwa, licha ya kuwepo kwa wakopaji wasiorejesha mikopo kwa wakati pia mwenendo mzima wa baadhi ya taasisi za fedha zikiwemo benki kutozingatia kanuni na taratibu za ukopeshaji, jambo linalosababisha kuongezeka kwa mikopo chechefu.
|
1,308,117 | Kutoka Viwanja Vya Bunge Jijini Dodoma.
|
303,257 | Machoni kwa Muhammad, tajiri na masikini, bwana na mtumwa, mweupe na mweusi, walikuwa wote ni sawa.
|
103,427 | Anasema serikali ya Dr Shen imefanikiwa kufuta madoa ya ubaguzi.
|
555,786 | Kwa wale walioko Dar es Salaam 0.
|
1,001,066 | Habari mpya kuihusu hali ya Mwai kibaki baada ya upasuaji
|
1,072,814 | Ushindi wa Bayern utamfanya Jupp Heynckes kua kocha wa 19 kushinda kombe hili mara mbili, kufuatia ushindi wake wa 1998 alipokua akiifunza Real Madrid.
|
772,658 | Ubalozi wa Norway nchini umeipatia msaada wa dola bilioni 5.
|
433,068 | Ingawa sio kwa kiwango kikubwa, huenda kiwango hicho kikawafaidi sana waendeshaji magari.
|
1,435,144 | Mkuu wa Zantel upande wa Zanzibar, Mohamed Mussa akisisitiza jambo wakati akizungumza na waandishi wa habari kuhusiana na mkakati wa uboreshaji wa mtandao unaofanywa na kampuni yake.
|
868,749 | Eneo hilo, ambalo lilikuwa na ukuaji wa viwango vya wastani vya uchumi miaka kadhaa kuelekea mwaka 2015, ilipata hasara kubwa katika kasi ya ukuaji wake baada ya bei za bidhaa kushuka mwaka 2015 – 2016.
|
419,258 | - Shollei ambaye anawania kiti cha uwakilishi wa wanawake katika kaunti ya Uasin Gishu aliulizwa maswali kuhusu mienendo yake kama kiongozi
|
192,737 | Je unajua kitu kuhusu Palos Hills, Illinois kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
|
7,972 | Tulia Ackson (wa pili kulia) Mwongozo wa watumiaji wa huduma na bidhaa za mawasiliano kwa niaba ya Wabunge.
|
909,996 | Ndio, CCM inahitaji mabadiliko makubwa; maana CCM ya sasa inakimbiliwa na wafanyabiashara, wasomi na wajanja wengine.
|
1,057,876 | 2013) kimeanza kutangaza mawaziri wake watakaokuwemo katika serikali ya mseto nchini Ujerumani miezi mitatu baada ya kumalizika kwa uchaguzi mkuu wa nchi hiyo.
|
1,211,149 | Alipokuwa inaonekana imefungwa mbali katika kwanza, Tabia ya Kikristo huwa endearing kama yeye polepole lets Anastasia katika dunia yake hisia na lets kuponya yake yeye.
|
932,484 | Bado tunayo nafasi ya kuonesha mfano ,kwa kubadilisha mfumo wa Muungano wetu na halafu kuendelea katika federation kubwa.
|
407,540 | Haya ni mafanikio ambayo yanapaswa kusifiwa na watanzania wote wapenda maendeleo kwani kutokana na mapambano hayo nchi imeweza kujulikana kimataifa, vivutio vyake vya utalii vimeweza kujulikana, nchi imeweza kuwatengenezea vijana ajira, na kuweza kupunguza uhalifu kwa kuweza kuwapa vijana kazi kwani kukaa kwao bure ni kishawishi tosha cha kutumia nguvu zao kwa shughuli ambazo sio za maendeleo.
|
299,964 | Baadaye ikafutiwa na taarifa ya Waziri Mkuu Pinda kuhusu utekelezaji wa maazimio ya Bunge na kupelekwa kwa mtuhumiwa mmojawapo wa Richmond mahakamani.
|
1,359,205 | Mahakama ya Norway yameamua kuwa Anders Behring Breivik ana akili zake timamu, na imemhukumu kifungo cha miaka 21 kwa kuuwa watu 77 mwezi wa Julai mwaka jana.
|
1,041,182 | Camillius Kasalla kutoka (CSO) akitoa mada namna ya vyama vya kijamii NGOs juu ya umuhimu wake katika ufuatiliaji wa mambi ya uwazi katika sekta ya madini.
|
914,322 | Isitoshe huja kupumzika Marekani zaidi ya mara tatu kila mwaka na kila anapokuja huja na pesa taslimu zisizopungua dola 1,000,000 kinyume na sheria za uhamiaji za Marekani.
|
13,435 | Wakazi wa Kata za Katoro na Kaibanja ambako yalitokea matukio matatu ya uchomaji wa makanisa usiku wa kuamkia Jumapili, walisema suala hilo limeleta hofu zaidi kwa kuwa hata kundi lililokuwa linacharaza wananchi na kuharibu mali kabla ya hapo halikuwahi kujulikana, huku wengine wakisema ni la kisiasa.
|
794,316 | Philip Mpango (kulia)akiongea na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam alipokuwa akitoa taarifa ya upatikanaji wa makontena 43 pamoja na malipo ya kodi ya Zaidi ya shilingi bilioni tano kutoka kwa wakwepa kodi,kushoto kwake ni kaimu Kamishna Mkuu wa TRA Bw.
|
1,420,758 | • Tangazo hili pia linapatikana katika Tovuti WWW.
|
425,330 | Hii ni ziara yake ya pili katika moja ya nchi wanachama zilizotia saini mkataba wa Rome baada ya kuzuru Chad mwezi uliopita.
|
475,408 | Usiku wa jana Jumamosi ulikuwa muhimu kwa staa wa Liverpool, Mohamed Salah, kuikataa rekodi mbaya ya .
|
313,848 | Picha za gari ya Lissu aina ya Toyota Land Cruiser VX, zilizopigwa baada ya shambulio hilo, zinaonyesha gari la Lissu ambaye pia ni rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), likiwa na matundu zaidi ya 28 ya risasi.
|
107,095 | Kama jamii nzima inaamini kuwa kufahamu Kiingereza ndiyo hali ya kujivunia basi ni vigumu kuona mabadiliko.
|
1,075,256 | “Uchaguzi wa Madiwani Umekwisha, ACT Wazalendo, tunalaani vurugu na Kuwashukuru Watanzania.
|
856,973 | Ningependa kukupa pongezi pamoja na bloggers wote kwa kazi mnayoifanya, kwa sababu nyie ndio the CIVIL SOCIETY ya nchi yetu.
|
957,791 | Baada ya kupata ‘ubuyu’ huo, gazeti hili lilitaka kujiridhisha na ukweli wa habari hizo na lilipowasiliana na mmoja wa maofisa wa kampuni ya udalali ya Mem Auctioneers And General Brokers Ltd, waliotangaza mnada huo, alikiri kusitishwa kwa zoezi hilo.
|
247,650 | Baadhi ya viongozi kutoka Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaaa wakifuatilia mkutano baina ya Katibu Mkuu wa wizara hiyo na Naibu Waziri wa ,Habari,Utangazaji na Utamaduni Mheshimiwa Tian Jin.
|
71,812 | Miongoni mwa vyombo hivyo vilivyopo chini ya Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi mbali na Jeshi la Polisi ni Jeshi la Magereza, Jeshi la Zimamoto na Uhamiaji.
|
26,311 | WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameuagiza uongozi wa wilaya ya Tanganyika mkoani Katavi kuhakikisha unawaondoa watu wote wanaoishi katika maeneo ya hifadhi na ushoroba wa wanyama wa Lyamgoroka.
|
1,027,873 | Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akigonganisha glasi za viwanywaji na Balozi wa China nchini Tanzania Dk.
|
443,225 | 1 milioni na hiyo fedha haikufika kwenye akaunti ya CRDB wala kurudi kwenye akaunti ya chama.
|
1,308,985 | Naye mjumbe wa kamati ya kisiasa ya muungano huo Anas Abdah, aliliambia shirika la habari la Reuters, kwamba wametoa hadi saa tatu za usiku kwa saa za Afrika mashariki siku ya Jumatatu kwa mwaliko huo kufutwa, na kurudia msimamo wao kuwa watakubali tu ushiriki wa Iran itakapotangaza wazi kwamba inaondoa wanajeshi wake nchini Syria, kukubaliana na maazimio ya mkutano wa Gevena moja, na kujifunga kutekeleza maazimio yote ya Geneva mbili.
|
95,813 | Ruka hadi maelezo Yaliyomo Habari Michezo Video Vipindi vya Redio Habari Michezo Video Vipindi vya Redio Matangazo ya Dira ya Dunia TV 24.
|
17,667 | Wafungwa wamechukua udhibiti wa gereza kwenyr mji wa Rio de Janeiro nchini Brazil na wanawashika mateka baadhi ya wafanyakazi wa gereza hilo.
|
830,435 | Rwanda imekuwa ikijenga makazi mapya kwa ajili ya wananchi waliokuwa wanaishi katika maeneo ya milima na miinuko ambayo ni hatari kwa maisha ya binadamu.
|
1,343,832 | Mgodi wa GGM - Geita umekuwa ukitumia milipuko mikubwa wakati wa kulipua miamba ya dhahabu na kusababisha madhara makubwa kwa wananchi jirani na maeneo hayo, kama wale wa eneo la Katoma.
|
695,940 | Kushoto ni Mkuu wa Mawasiliano ya Serikali wizara ya Fedha na Mipango, Ben Mwaipaja.
|
518,625 | Wa kwanza yuko nje ameoa na ana familia yake.
|
385,246 | Mtambaji huahidi kutenda mambo makubwa zaidi kwa ajili ya mkubwa wake ambaye anaweza kuwa mzazi, mtawala au umma.
|
266,552 | WEMA SEPETU JELA MWAKA MMOJA AU FAINI MIL 2
|
351,320 | Mkutano huo wa siku mbili uliofunguliwa jumatatu unajumuisha viongozi mbalimbali kutoka afrika mashariki akiwemo rais Yoweri Museveni wa Uganda, rais Mwai Kibaki wa Kenya na mawaziri mbalimbali pamoja na wakurugenzi wan chi za nje.
|
1,133,307 | Kuna mambo mawili makubwa yenye ushawishi mkubwa wa usaliti.
|
840,684 | 20 Oct 2016 15:48, (wakatoliki: kanisa mitume Mama Bikira maria).
|
1,124,009 | Maafisa wa zimamoto wa wakizima moto baada ya shambulizi la ndege za Israel.
|
317,111 | Bonde la Ufa Mashariki ya Afrika Tawi la Magharibi – Vivutio Asilia
|
990,605 | Lakini watu hapa hawaziangalii hizo wanaangalia mustakabali wa taifa
|
40,128 | Sisi Azam FC, tutamkumbuka Mzee Said Mohamed kwa ucheshi wake, ukarimu na uchapakazi wake kwa ujumla.
|
1,301,470 | 6 Lakini maneno yangu, na amri zangu nilizowaagiza hao manabii, watumishi wangu, je!
|
306,507 | Jitahidi kutotumia sms language unapokuwa kwenye majukwaa aina hii.
|
1,092,016 | Mashindano hayo yaliyoshirikisha timu 20, timu ya Hai iliibuka kidedea.
|
1,219,642 | Katika maelezo yake, ManDojo anasema imekuwa ngumu kwake kwenda kuishi nyumba ya kupanga ikizingatiwa kwamba alishazoea kuishi nyumbani kwake.
|
1,091,978 | Sasa, linalohitajika na fikara zetu ni hili:
|
660,835 | Katika mahojiano na Radio Vatican anabainisha huruma na upendo wa Mungu katika maisha yake.
|
80,416 | VICTORIA FOUNDATION YAKABIDHI MSAADA WA KADI ZA BIMA YA AFYA KWA WAKINAMAMA WAJANE 100 MKOANI GEITA.
|
89,394 | bila shaka kama ya mbinguni ni bora zaidi.
|
824,523 | Katika elimu ya sekondari tuliona tulitoka kwenye division one hadi four, tukaenda kwenye division 1 hadi E.
|
981,986 | ke siku ya Julai 4, wawili hao walichaguliwa baada ya kuthibitishwa kuwa sawa na Benki Kuu ya Kenya.
|
168,275 | 7Alikuwa na binamu, Esta, ambaye jina lake la Kiebrania lilikuwa Hadasa.
|